Jipatie nakala yako

FAHAMU WITO ALIOKUITIA BWANA YESU

Kwanza kabisa naomba Mungu aweze kukutumia wewe. Na nitakuandaa ili upako uweze kuja juu ya misha yako, na ninatambua pindi utakapo maliza kusoma kitabu hiki upako utakuwa umekujilia na utatenda mambo makuu. Ninatambua Mungu anakutumia na anaendelea kukutumika, lakini hiki ni kipindi cha viwango vya juu, hiki ni kipindi cha kutembea na nguvu za Mungu na kuachilia nguvu za Mungu katika maisha yako. Mambo ambayo nitakufundisha katika kitabu hiki ni mambo ambayo nimekuwa nikifundishwa tangu mwanzo wa wito wangu na utumishi. Mchungaji Boniface Evarist.

$6.99