PastorBon anapenda kuwatangazia wale wote ambao wanatamani kusoma Biblia Nzima kujiunga na Bible Marathon sasa. Tutaanza rasmi kusoma Tarehe 1 Mei, 2020. Hakikisha umejiunga kabla ya 1/5/2020.
Kama ulijaribu kusoma Biblia ukaishia njiani, sasa jiunge na timu kubwa ya wasomaji wengine kutimiza lengo lako.

Huduma hii ya Bible Marathon ni mpya. Wapo wengi waliomaliza kusoma Biblia nzima na wengine wanarudia kwa mara ya pili, tatu, n.k lakini wengine ndo kwanza wanaanza. Hii ni zamu yako kutimiza malengo yako.

Kumbuka, kusoma Biblia ni sehemu ya kujipatia MAFANIKIO yako ya KIROHO na KIMWILI.

“8 Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana” Yoshua 1:8
Jinsi ya Kujiunga:

Bofya au click hapa chini kujaza fomu ya kuomba kujiunga.

https://forms.gle/957djapjw8gFLkF36

Kisha subiri kidogo, ukija ukurasa jaza taarifa zako, kisha submit na usubiri kuungwa.

MUHIMU: TUMA AU SHARE UJUMBE HUU KWENYE MAGROUP MENGINE AU KWA RAFIKI ZAKO KUWAALIKA NA WENGINE.

Karibu PastorBon kwa ajili ya Bible Marathon 2020.

Pastor Boniface Evarist Mwakisalu

Toa Maoni yako / Leave Your Comment:

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s