Nakuarika katika group la WhatsApp liitwalo PASTORBON.ORG.

Limeundwa kwa makusudi ya kujifunza pamoja, kuulizana maswali na kufundishana maswala ya ujana, uchumba, ndoa na ustawi sawa na kusudi la Mungu.

Kama uko tayari kujiunga naomba ingia kwenye link hapa chini, ya kundi la mapokezi Ukiingia MAPOKEZI PASTORBON.ORG jitambulishe kwa andika Jina kwanza na la pili, Mkoa au nchi utokayo.

Baada ya mmoja wa Admin kuthibitisha taarifa zako ndipo utaingizwa kwenye group la mafunzo PASTORBON.ORG

AU